Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Yako wewe. Weka basi.
yaani wewe ajuuza nadhani hata chakula hua unaficha uvunguni...ptuuu....disgrace
Yako wewe. Weka basi.
Kwani we ndo mmiliki?!?!?!
Mkuu barafuyamoto unamuuliza FaizaFoxy kuhusiana na mambo ya gospel unategemea akujibu nini wakati yeye na udini damu damu! Huyu bibi ni itikadi kali wale wa kujilipua kabisa!
Tido dini gani?
Tido ndo Boss wa hiyo studio au? Kama niyeye huenda ikawa studio safi sana.
yaani wewe ajuuza nadhani hata chakula hua unaficha uvunguni...ptuuu....disgrace
Mdini ni huyo bimkora wenu FaizaFoxy usijitoe ufahamu kusingizia wengine!
Yeye ni msaidizi. CEO ni mzungu raia wa Uingereza. Tido ni Assistant CEO.AZAM hataki mchezo. Studio kali kimuonekano. 53bn/- siyo mchezo, ni karibu hela za Uwanja wetu wa Taifa na kuongeza kidogo! Go go ahead Azam
Sasa Kama Napigiwa Simu Na Marais Paul Kagame, Yoweri Museveni, Katibu Mkuu Wa EAC Dr. Richard Sezibera Na Balozi Wa Rwanda Hapa Kwenu Tz Huyo Yahaya Mohamed Kwangu Anajaa Ktk Kiganja Kipi? Nyie Potezeni Tu Muda Wenu Na Mimi Humu Kisha Mfukuzwe Kazi. Mimi Humu Ndiyo Kazini Kwangu au Ofisini Kwangu Na Nazichanga Mno Kupitia UPOPOMA Wenu.
Kwahiyo Humfahamu Tena ANAYEKUPAKATA Na KUKUTEKENYA Kunako?
Waislam hatuna hilo, chakula si mali yetu hata kama tumekinunuwa sisi. Kumbuka hilo.
Nimefanya nini? na nyinyi ndiyo mliolianzisha hapa, eti mnataka Azam awawekee channel za gospel, nimewaambia msahau hilo.
Hakuna.
Tazameni Peace TV muondoke kwenye kiza lililowatanda.
kuna utofauti gani akiwa azam na itv? ukabila? ukanda? udini? or what?Tunategemea makubwa kutoka kwake.kila la heri tido ila serikali wasije wakambana hukohuko.kw maoni angu angefaa zaid itv
Mkuu barafuyamoto unamuuliza FaizaFoxy kuhusiana na mambo ya gospel unategemea akujibu nini wakati yeye na udini damu damu! Huyu bibi ni itikadi kali wale wa kujilipua kabisa!
Sasa kutwambia tusahau gospel kwa Azam wakati wewe si msemaji wala si mmiliki, huo sio udini nini!