SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi
mkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?