barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Sahau.
Kwa nini?
Sahau.
mchakato majimboni ndiyo ilimuondoa mhando
Nimeona mwenzake ( Shaban kisu) kaondolewa kiakili kwenda kondoa.
Kwa nini?
naomba tu AZAM MEDIA waache udini wa wazi wazi, watuwekee, angalau hata channel mbili za gospel.
Mkuu barafuyamoto unamuuliza FaizaFoxy kuhusiana na mambo ya gospel unategemea akujibu nini wakati yeye na udini damu damu! Huyu bibi ni itikadi kali wale wa kujilipua kabisa!Sahau.
Sahau.
TBCCM inajifia taratiiiiibu, hata mwanangu hataki kuiangalia, anasema hata katuni zao mbayaaaaa
Sahau.
Kakulipa Tsh Ngapi Kuja KUMTOLEA Mapovu Ya Kumtetea Humu? Utake Ukatae Dr. Dau Ni Mdini, Narudia Ni Mdini Namalizia Ni Mdini Pure.
Sahau.
Tido dini gani?
Huyo bibi ni shetani katika mwili wa kibinadamu!ingekuwa ni TV yako sawa.manake una roho mbaya kama shetani
ingekuwa ni TV yako sawa.manake una roho mbaya kama shetani
Ukiziba mlango mmoja mwingine unafunguka.
Go Tido