Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

hii siyo lugha ya mtu aliyeelimika Na kustaarabika.eeti ndio unaongea Na Marais sijui Marais wawapi hao.hovyooooooo

Ila Rais Wako Anayesema UKITAKA KULIWA BASI NA WEWE ULIWE Ndiyo Kastaarabika Na Kuelimika Na Usishangae Hata Uprofu Wa Kichina Kapewa Kutokana Na Lugha Yake Hiyo Ya Kistaarabu Na Kisomi. Unavyosema Marais Wa Hovyo Hebu Tulinganishe UTENDAJI WAO Na Wa Kwenu. Najivunia Sana Kuwa Chini Ya Kagame Na Museveni Halafu Kingine Acha Na Acheni Ushamba Tunavyojiwasilisha Humu Kwa Post Zetu Haimaanishi Kuwa Huo Ndiyo Uhalisia Hivyo Tumieni AKILI Basi Kidoooooooogo. Umtaji Vipi Mtu Kwa Post Zake Na Isitoshe Hata Humjui Na Hatujuani Humu? Ninavyowadharau Kuwa Kuna Watu Humu Ukiongozwa Na Wewe HAMNA AKILI Huwa Mnakasirika Na Mimi Huwa Nawashinda Sehemu Moja Tu Nayo Ni Ktk Logical Premise Building! Tafuta Mtu Mwerevu Akufafanulie Hiyo ILA Kwa Wewe Najua Hapo NIMEKUACHA MBALI SANA.
 
Emanuel tv inapatikana, kajilipue sasa.

Watu wanaropoka sana. Anasema sahau wakati Emmanuel Tv ipo. Labda kama imeondolewa. Mwenye Azam anaangalia hela hata kama inatokea kwa "kafir" vinginevyo angechagua wateja.
 
Umenena mkuu!wengine ni kutafuta sifa tuu eti wamesaidia jamii kwa kuwapa ubwabwa diamond ukiuliza ajira,kodi anazolipa hakuna
Hivi studio ya ITV si ni kama hii iliyozinduliwa leo?
 
Mwenzako anafanya biashara ...wewe kuja kumsemea hapa sijui ndo kama nani!!!?? Alafu upunguzage ushabiki usiokua na maana kwa dini yako wewe unapandikiza chuki bila kujijua.

Na wewe una dini au unahororoja tu, hiyo chuki imeanza leo? unanchekesha.

Azam TV sahau gospel channels.
 
unaonekana una hamu sana ya kuhorojolewa ki foxy foxy.tena gozi lako lilisema mitandao yote unatumia.nitakutafuta

Utahororoja na kubwabwaja sana leo.

Azam TV kuweka mi channel ya kikafiri, hilo sahau. Labda si ya Bakhresa ile.
 
Back
Top Bottom