Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Kama mpaka katuni ni mbaya........basi ni shida........hawana tom and jerry........au scooby doo.........?..........
Wanazo katuni za Junior Jumbo na Mama Ndege
Kama mpaka katuni ni mbaya........basi ni shida........hawana tom and jerry........au scooby doo.........?..........
Hilo nalo neno mkuu.
Angalienieni Sana Msije Mkanunuliwa Na Liccm Alafu Likawaalibia Marengo, Cc Tukiona Mlipendelea Liccm Tunang'atuka.
Utahororoja na kubwabwaja sana leo.
Azam TV kuweka mi channel ya kikafiri, hilo sahau. Labda si ya Bakhresa ile.
Naam, kitu ambacho hukipati umri wako wote.
Mbona hata za dini ya kiislamu hamna? Ila ni vizuri waweke na station za dini kuu (uislamu na ukristo), kuna watu wametengwa!!
Sasa umeeleza tofauti gani na nilivyoeleza? Nililoandika ni tumaini langu kutokana na dalili za kumuajiri Tido. Pamoja na kuwa mfanyabiahsra nchi na jamii huwa zina utaratibu wake. Kuwa mfanyabishara si kigezo cha kufanya chochote anachotaka! Kungekuwa hakuna utaratibu angeweza kuamua kuajiri wafanyakazi wote waarabu kutoka uarabuni!
Mie nnaajiri.
Punguani wahed.
Wako ni mkubwa sana. Wangu niwachie mwenyewe, unakuhusu nini?
Madrassa Al Jammiatul Al Islamiya Fi Tanganyika.
Huko kuna Chanel za makafiri wenzako tuu acha kujidanganya Azam tv haijaegemea upande wowote kama nyimbo za gospel zitakuwa zinaonyeshwa kila siku asubuhi .Ya Bakhresa na ndiyo haweki channel za kikafiri. Kumbuka hilo.
Ingia katazame Peace TV. Kwa faida yako.
Madrassa Al Jammiatul Al Islamiya Fi Tanganyika.
Wanazo katuni za Junior Jumbo na Mama Ndege
azam anaupendeleo Wa kidini kuanzia wafagizi mpaka waendesha vibaskeli vya juice ukiona mkristo kaajiliwa ujue hakuwa na namna...
Nyinyi majizi sana kwahiyo bora hata asiwape kazi, kuanzia Escrow, meremeta, IPTL, hadi bank ya mkombozi kumejaa majambazi tu angalia kila sehemu kwenye wizi wa nchi nyinyi tu hamuoni aibu?