Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Nasari sasa
Umejifunza cmpt ukubwani eti media player haihusiki na internet conection! Hujaambiwa uconnect internet, ila utumie media player kuplay live hiyo link acha ku2mia masaburi.hahahahahahhahahahah.....mkuu umetisha....eti imestack.....
acheni kudanganya watu...kinachofanyika hapo ni kudowload kipisi cha sauti kilichorekodiwa na kisha kukisikiliza kutumia window media player au media player yoyote....kwa ufupi ni kwamba media player haihusiki na internet connection
kamanda mbowe anaongea kwa hisia kali sana na nukuu za maandiko matakatifu wananchi wanamsikiliza kwa makini sana.
Hukumuelewa tu chama kimefilisika hiki, ha ha haaaaaMbowe anasema;HATUTATUMIA HELA ZA KIFISADI BALI ZA WATANZANIA.
NATANGAZA NAMBA ZA SIMU ZA WATANZANIA KUCHANGIA BILA KUTEGEMEA HELA ZA KIFISADI.
M-PESA;0757-755333
M PESA.;0763744334
AIRTEL 0684-425222
TIGO 0655-788333.
Huyo sheikh sadick ni wa kanisa gani?