Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

helkopta ya chadema inatoa shoo........helkopta inazunguka maeneo ya USA...mafarasi yapo yakiwa na bendera za chadema
 
kumbe ni sunrise Radio, asante Edson kwa msaada wako wa kiteknolojia. nawasubiri CCM nao jtatu
 
dah! hii kauli ya kamanda mbowe nimeipenda...''SISI SIYO WATU WA FUJO, ILA NI MAJASIRI WA KUTETEA HAKI ILIYOPOTEA''.
 
kweli chadema ina majembe,inatupasa kuyawezesha kwa karibu,kijana kaongea point tupu
 
nasari anasema wanafunzi wanaenda kila mwaka na dawati je wanapo maliza wanaondoka na madawati yanaenda wapi?
Naomba Muniweke kwenye maombi. kamaliza kwa kusema
"TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU".
Helkopta ya chadema inamaliza kwa show ya kupiga salakasi na kuzunguka angani kimanjonjo ikiwa na rubani tu mguu nje. watu wamefurahi, na Uzinduzi wa kampeni ndo umekamilika. na mimi sina la ziada tofauti na kuwatakia kampeni njema.
kuto hapa getto na mimi reporter wenu DUBU wa jamii forums. ova
 
Mi nawashukuru wote mlioko hapa ..hakikisheni mnalinda kura na kura haziiibiwi wana arumeru....toka trinidad nasema kwa herini nyote...
 
Mkuu asante kwa kutupatia link. Nimesikia vizuri Kamanda Mkuu. Na Sugu naye
 
Tunamsubiri Sharobaro mtoga sikio naye aje hiyo J3 kama anaweza mwaga nondo kama za dogo Kamanda wa ukweli.
 
Waliopo hapo uwanjani vipi mbona kama kuna jamaa anaongea kwa jazba mwishoni.
 
mimi nawashukuru wote waliyotupa michango yao bila kusahau ile online stream.Binafsi nimeweza kuyapata haya matangazo bila chenga nikiwa huku unyamwezini. Mungu awabariki na awape maisha marefu.
 
Back
Top Bottom