Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Tunaendelea kuwamonitor kwa karibu sana kwani tunafahamu pamoja na mambo mengine wanayoyapanga kuyafanya kwa nguvu zote ni kujitangazia ushindi kinyume na matokeo ndani ya sanduku la kura.
Tunawafuatilia kwa karibu mipango yao yote wanayoifanya kwa kushirikiana na msajili wa vyama, mkurugenzi wa halmashauri ya arumeru, tiss, polisi, nec, uhamiaji na takukuru.
Safari hii hawana pa kutokea tutakwenda nao ng'adu kwa ng'adu!

CCM mutaka munani ukangi nzira. Gari kubwa limeziba njia kaka.
 
mbowe:

sisa ya leo ya nchii hii ni ya pesa...watz wenzani mimi kama kiongozi wa chama hiki naanzisha japo litakalokuwa historia kwa chama hiki...uasisi wa chema ulianzia arumeru chini ya edwinim mtei.....
 
mbowe:

ngoja niwatambulishe muasisi wa chama cetu..Mhe.mee mtei nakuomba uje hapa
 
wazo la kuunda chedema lilifanyika kwa mara ya kwanza arumeru mtei alipokuwa anaishi tengeru miaka 20 iliyo pita. nachukua fulsa hii mumtambua mzee mtei(kamsimamisha)
 
kwa mtei ni tengeru na ni kweli mi nimeoa mtoto wa mzee mtei,ni mkwe wake mie,sio dhambi....mbowe
 
mbowe:

chadema ilianzia tengeru ndani ya jimbo la arumeru mashariki..namshukuru sana mzee mtei kwa kazi yake..wengine wanasema mbowe ni mkwe wa mtei...hoja sio ukwe hoja ni kuwa tulianzisha chadema katika mazingira magumu mno..wengine wamekufa...wengine wamedhalilika.....huyu mzee amefanya kitu kikubwa sana....asante mzee mtei naomba ukakae...
 
mbowe:

tunakwenda kwenye uchaguzi lakini kuna nguvu za aina mbili..sisi tuna mungu wao ccm wana fedha, polisi na washawasha
 
Tunaenda kwenye Uchaguzi tukiwa tumesimama na Mungu wenzetu wakiwa na fedha magari washawasha na polisi
 
bado mh mbowe hajazungumzia sera za chadema na vipaumbele vyao katika jimbo la arumeru mashariki
 
.... nimeipenda ya leo watu kibao mkutanoni hata kwenye mtandao hotuba ipo clear tena inawahi zaidi
 
Back
Top Bottom