dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,486
Mbowe anasema; tulianzisha chadema kwa mbinde sana hadi wengine wamekufa na wengine wamefilisika na wengine wamepotea. tunakushukuru mtei.
Sisi ni chama cha upinzani sio chama tawala. mimi kama mwenyekiti nakusudia kurudisha mamlaka ya chama kwenye himaya ya raia. sisi tunakwenda kwenye kampeni tukiwa tumesimama na Mungu wenzetu wamesimama na fedha, polisi, magari ya washawasha. tunataka wewe tanzania mwenzangu shilingi yako iwe chachu ya ukombozi. Kila mkutano tutafanya sadaka na kila mtu atatoa alich..