Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Dubu wewe ni noma! Yaani unatoa hotuba bila chenga?! Huku kwangu Ngereja amesimama kikakamavu kwenye luku yangu! Yaani mkuu Dubu unavyoshusha hotuba hapa jamvini utafikri namwona Mbowe! Endelea kutujuza mkuu!
 
Tuchangie jamani Chadema ifanikiwe uchaguzi wa Arumeru no ni 0757 755 333 hakikisha ina usajili wa Chadema Arusha
 
Nasari anasema; viwanja vyetu wanachezea golf wazungu, tukienda kulima tunapigwa lisasi. maji yanachukuliwa meru yanaenda Munduli wakati sisi hatuna maji. ngombe wetu hawana maji yameenda kuoshea farasi na kulowanisha viwanja vya golf. mwaka huu tutalinda kura kwa gharama zozote.
tuna matatizo ya hospitali hatuna mochwali, tuna mlima meru watu wanapigwa lisasi sababu ya mipaka ya hifadhi. tuna kila sababu ya kusema arumeru tumechoka. arumeru nzima lami ni km 5 tu. soma.(joshua1:5).
 
tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.....kijana amemaliza
 
paschal lymo ametoa mil.2 kama mchango kwa nasari
 
Washkaji wa arumeru washamba sana sasa ndio nn kuishangaa ile helkopta!!!
 
Back
Top Bottom