wamerudi live tena. mch. anakemea " tunakaa kinyume na nguvu za rushwa, tunakaa kinyume na nguvu za uchawi, tunakaa kinyume na umwagaji wa damu wa aina yoyote. katika jina la yesu tunaomba na kushukuru wote tuseme amen".
bonyeza link hii hapa chini moja kwa moja toka arumeru
Bonyeza Control "U" weka Link hii..
http://199.16.186.44:8523/stream?.wma
mi mwenyewe niko mbali kweli(trinidad)japo nimewasialina na hao star tv ili kujua kama wanarusha au vipi....kwa sasa najitahidi nasi wa mbali tuweze faidi online.....subiri
Naona Tanesco wameagizwa wazime umeme maeneo ya ukonga dar. Baada ya dua ya shekh wa wilaya tanesco ccm wameshachukua umeme wao. Haisaidii sana hii kuwa ndo itasaidia kuendeleza kuwapumbaza watanzania kuipenda ccm. Online inaonyeshwa kesho magazeti yataonyesha na kuendelea kuzidisha hasira kwa wananchi. Hii ni styre ya kuendelea kuzika ccm kaburini. Hongera zenu
Tunataka kampeni za kistaarabu na za kisayansi hasa kwa cdm na ccm. Pamoja na yote wagombea wa vyama hivi viwili ni age mate, ni new generation. Miaka kumi na tano ijayo nchi hii itakuwa chini ya age hiyo. Hatutaki uhuni wala wizi wa kura na gilba. Atakayeshinda apewe haki yake.freeman mbowe na mgombea Joshua waliletwa kwa helkopta.