dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,486
Mbowe anasema; serikali inayotumia nguvu kuingia madarakani inafanya watu watafute njia mbadala ya kupingana nayo HII NAMWAMBIA IGP MWEMA NA KIKWETE. Munaleta magari ya washawasha mabomu ya machozi zaidi ya roli mbili, asikali kutoka chuo, magari zaidi ya 40 kufanya nini? kama itatokea tabu mwasisis wa tabu hiyo siyo Chadema, Mbowe wala Nasari bali ni IGP.Mwema na Kikwete.