Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
Mimi pia niliwaza hilo ona siku hizi ana madeni kibao mpaka serena wanamdai million 150
 
Safari hii ni kuwapeleka mchaka mchaka tu
Sherehe ya Makubwa yaliyotendeka Miaka Mitano (5)
Uimara wa Muungano wetu
Ukuajui wa Demokrasia,
Ukuaji wa Kiuchumi,
ushirikishwaji wa jamii katika maamuzi ya serikali,
uzinduzi wa kampeni za mgombea urais ZANZIBAR .

#CCM
#JPM2020
#YajayoNiNeemaTupu
#Zanzibar
#Mwinyi2020
 

Attachments

  • VIJANA.jpeg
    VIJANA.jpeg
    105.2 KB · Views: 1
Kaugua aisee ghafla tu. Na sasa yuko Chattle!
Acheni kujitoa ufahamu, Magufuli kaona apumzike maana timu iliyopo uwanjani Mama Samia na Majaliwa inatosha Sana, chadema nanyi mmetuma poyoyo wenu Salum Mwalimu akahutubie uwanja mtupu!
Huyo hafai kwenye maonesho labda muendelee na Mr Lissu labda washangaaji wataongezeka.
 
Kiukweli ujapima vizuri,, fikilia upya ndugu yangu lakini watu wanatembea kwa usafili siku hizi sio kwa miguu ,, unavyosema wanasombwa unawakosea sana wao sio mizigo,,sema wanaenda kusikiliza sela safi za Dkt H.A.K.Mwinyi
Wapinzani wa nchi hii muda wa kujinadi kwa sera na kujipambanua nini utawafanyia wakikupa dhamana wao muda wote ni propaganda zisizo na maana hata kwao wenyewe, imagine kusema ccm anatumia wasanii au anasomba watu inakuongezea vipi kura kukupa ushindi?
 
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.

Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;

Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole

facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM

Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania

Instagram: @ccmtanzania

#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020

View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.
Zanzibar tunasimama na Mwinyi,✊✊
Hakika ni Neema tupu ✊
 
Kiukweli ujapima vizuri,, fikilia upya ndugu yangu lakini watu wanatembea kwa usafili siku hizi sio kwa miguu ,, unavyosema wanasombwa unawakosea sana wao sio mizigo,,sema wanaenda kusikiliza sela safi za Dkt H.A.K.Mwinyi
Wanaosombwa na mabasi pia wanasafirishwa kama mizigo ulimsikiliza Mama Maria Nyerere kule Mara??
 
Back
Top Bottom