Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu
Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke
Duh e bwana watu wengi balaa hapo naona hamna hata mahali pakunyooshea mkono
Katiba mpya lazima ije na solution ya kupunguza gharama Kama hizi kwenye uchaguzi.Ingefaa mshindi wa pili arithi jimbo.
Namuona Bucho hapo ameshika kiuno amejichokea mwenyewe!!
![]()
Katiba mpya lazima ije na solution ya kupunguza gharama Kama hizi kwenye uchaguzi.Ingefaa mshindi wa pili arithi jimbo.
maandamano makubwa sasa yanaanza kuingia kwa zamu hapa kiwanja cha mkutano Watu ni wengi haina mfano
Komba hawezi kutembea?? Au naona vibaya?