JF ni ya CHADEMA ndio maana iko biased.matukio yasiyoihusu chaga devp manifesto lazima yaharibiwe na kuchafuliwa kama hili hapa
mapovu yashaanza mapema ivi leta update acha porojo
Naona kwa mbaali bendera ya Chadema. Hebu angalia juu ya hilo gari upande wa kushoto mwa picha. Chini yake kuna masanduku mekundu yaliyo juu ya huo mgari wa kitalii.
![]()
Wee Mgoni Komba punguza unene. Kaptain gani wa jeshi anajiachia kwa unene namna hiyo? Sasa unatembelea gongo, siyo ajabu kabisa maana miguu inashindwa kuubeba unene wa tumbo, kifua na kichwa. Huo Mbichwa hata Rama mla watu asingeliweza kuubeba sasa wewe hiyo miguu si unaitesa sana? Pia siyo nzuri kwa afya yako kwani mwili unakuwa mkubwa ila MOYO unabaki kuwa vilevile na matokeo yake unashindwa kusukuma damu katika limwili lote la John Komba.
![]()
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu
Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke
hata mi ningekuwepo ningekuja kuburudika na bongo fleva na ukizingatia ubwabwa upo ningebeba na marafiki zangu baada ya hapo chademaaaaaaa
Chama kilichoshinda kiteue mrithi na kuthibitishwa na NEC
kitambi kwa akina mama hairuhusiwi..............ubwabwa huu mbaya sana!!\JF ni ya CHADEMA ndio maana iko biased.matukio yasiyoihusu chaga devp manifesto lazima yaharibiwe na kuchafuliwa kama hili hapa
saa 10 kamili TBC 1 Itarusha live sogeeni karibu na TV Now
Huwa mnaaza mambo yenu ya kipumbavu namna hii halafu baadae mnakuja kulalamika mnaonewa na MODS...hiyo ni tamaa au unawapelekea waumini kanisani kwenye ibada,yesu na maria