Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Mi ntakuja!bahasha hazina utata lakini?si unajua tunazihitaji ili kuchangia ukombozi kupitia cdm?
 
CCM inawaumiza kichwa sana. Tulieni mfundishwe SIASA
 
Wakuu mliopo eneo la tukio mkumbuke pia kutujuza idadi ya malori yatakayosomba watu kuwaleta mkutanoni
 
Biashara ya kuuza utu kwa Tshirt na Kanga ndio wakati wake huu. Uzeni uhuru wenu wanaArumeru wachovu kumchagua mtu asiye hata na kadi ya mpiga kura na matatizo yenu yaendelee kujitatua yenyewe
 
crashwise tutendee haki, rusha picha mkuu, au unasubiri picha gani?
 
Mpaka sasa hamna picha yoyote.....
Ni vipi jamaa shughuli wameihamshia chumbani??
Maana hata picha za mkutano wa Jk na madr tulizipata sasa hizi zinakwama wapi??
 
Jamaani mliopo kwenye eneo la tukio mtujulishe kuwa wamechinja ngo'mbe wangapi, je kutakuwa na pilau tu peke yake au na wali wa nazi...!! Mpango wa posho utakuwaje kwa ambao wamepatiwa kanga, kofia na t-shirts! na mpaka sasa ni malori mangapi yameshaleta magambas.
 
Sikubaliani na Heading ya thread hii, kwani ungesubili mpaka upate picha ndio uanzishe thread ungepungukiwa nakitu gani!!??
 
Kiherehere mi cpendi mtuwangu! Picha ikowapi sasa?
 
Basi mtafute hata nchemba umfoe akiwa na wanabodaboda kuipa mashiko thread yako angalau kwa sasa.
 
Kweli uchaguzi ni gharama.Pesa itakayo chomeka hapo balaa
 
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu

Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
CCM7.jpg

CCM6.jpg

GARI.jpg

GARI1.jpg

CCM9.jpg

CCM3.jpg

CCM1.jpg


Picha zote kwa hisani ya mjengwablog.com
[/FONT]
 
Mkuu tunakutegemea kwa update, nipo hapa corner nirobi nimekutana na lori na cruisers zikitokea Monduli kuelekea Arumeru. Watu waliobebwa kwenye Lori wanaonekana wamechoka sana.

Nasikia kwenda tu mtu mmoja ni tsh 60,000/= hadi 150,000/= kama unaijua hela
 
Back
Top Bottom