Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

[(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu
[QOUTE]

mkuu wewe ni mnafiki na una gubu,

SITTA YUKO MWANZA,ROSTAM YUKO NJE YA NCHI NA CHENGE HAJASHIRISHWA ARUMERU,SASA HUU UHARO WAKO ONDOA HAPA USIPOTOSHE WANA JF
 
Current users browsing this thread:

Naona lile group la MMU nalo linachungulia huku kwenye politiki, haa haa haaaa!
 
Burudani mbalimbali zinaendelea huku viongozi mbalimbali wa chama Taifa wakizi kuingia na hali kadhalika Malaki ya Watu wanazidi kusogea eneo la Tukio kwa Maandamano
 
Wanazindua saa ngapi, wasijesingizia time imekwisha.
 
Mleta mada vipi CCM wameweka hii kitu?
CCM+Kampeni.png
Naomba jibu upesi ili nije na NDIZI na PILIPILI!
 
[h=2]12 March 2012[/h][h=3]Sitta: Lazima tuisafishe CCM yetu[/h]

*Ataka mafisadi watoswe katika chaguzi za chama hicho
Na Mwandishi Wetu, Mwanza

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Samuel Sitta, amewapa mtihani mzito wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza na mikoa mingine nchini kuweka historia katika chaguzi mbalimbali ndani ya chama hicho kwa kukisaficha chama na kuwatosa wagombea wanaotaka uongozi kwa maslahi binafsi kwani wanachangia kukishushia hadhi chama hicho.

We mbuzi uloleta hii thred usome hii usifikiri watu wote wamelala km wewe
 
Hapa longo longo tupu, ngoja tuone mwisho wake.
 
Naomba jibu upesi ili nije na NDIZI na PILIPILI!


JF ni ya CHADEMA ndio maana iko biased.matukio yasiyoihusu chaga devp manifesto lazima yaharibiwe na kuchafuliwa kama hili hapa
 
jamani leten picha za ccm tuone aibu yao.
"Ccm imefia arumeru"
 
sura zote zinaonyesha watu ambao huna haja ya kuuliza kama ni wanafiki!
 
Msiwachukulie wanawake for granted, mwanamke akishapenda kapenda! tofauti na wanaume ambaye anaweza kuamka asubuhi siku ya uchaguzi akaona manyunyu ya mvua akaamua avute shuka...
 
Back
Top Bottom