Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Ubwabwa tayari au bado wapishi hawajafika. Na leo ni kiasi gani tunakula (pesa!!)
 
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu

Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke

Mwakyembe na EL wenyeye hawajarudi kutoka kwenye matibatu, waongoze maandamano kutoka Kusini- Kasikazini?!!:scared:
 
nakwambia ni kijani kila mahali,kuanzia kikatiti hadi sanawari na philips

Lazima utakuwa na makengeza kwani hata mimi niko hapahapa sioni kijani sehemu yoyote hapa.kwani wewe upo upande gani hapa inawezekana macho yamepata hitilafu mkuu au unaweweseka bila kujijua.
 
Kaburi halihitaji mbwembe mkuu, endelea na mbwembe zako sasa hivi tunakuja kuona huo ukweli.
 
badaboda mmeshawapa mafuta na elfu 30,000 zao waongeze idadi?

Wanachama wote wa CCM wana uwezo wa kuweka mafuta magari yao na Pikipiki zao hivyo kila kitu kipo safi ni honi tu mabarabarani yaani leo CDM wameinama na kutiwa maji
 
Katiba mpya lazima ije na solution ya kupunguza gharama Kama hizi kwenye uchaguzi.Ingefaa mshindi wa pili arithi jimbo.
 
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu

Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke

100% fix!
 
taarifa za uhakika ni kwamba kampeni za ccm zimedoda sana...........
 
CCM7.jpg

CCM6.jpg

GARI.jpg

GARI1.jpg

CCM9.jpg

CCM3.jpg

CCM1.jpg

Picha zote kwa hisani ya mjengwablog.com
 
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu

Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke

Nina wasiwasi na hapa namba 7 kwani inaonyesha kuna zaidi ya uzinduzi hapa. Mabinti zetu na wake zetu kwa nini wamekuwa earmarked hivyo?. Haya yote tunajua ni kwa sababu ya kutaka kumrahishia Mwigulu Mchemba kazi kwa kumsogezea hufuma karibu kwa makusudi kabisa. Nasi tuna kula nadhiri kumshughulikia Mchemba pale tutakapoona kuna dalili za udhalilishaji wa akina dada na wa mama.
 
Back
Top Bottom