Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
- Thread starter
- #221
Inamaana hujaziona hapo juu au unasubiri za photoshop...Hawa CCM wako shallow kinoma, how comes tangu asubuhi hadi sasa mkutano unaisha hakuna picha za kueleweka au ndiyo mwisho wa CCM huko Arumeru?
Watajuta kuiba kura na kuwafanya wananchi wajinga....