Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

.....huko arumeru yaonekana dhahiri kuwa ccm wamefika mwisho wa safari kabla hata safari yenyewe haijaanza!
 
Jamani hamna picha ya live tukaona walu mahudhurio? Mwigulu huna kamera ya maana hapo uturushie matukio...tuone majigambo yako yameshia wapi?
 
CHADEMA ni waya wa umeme CCM wameukalia wataona utakavyo wachubua magamba ambayo walishindwa kuyavua Dodoma hilo ni gamba la kawaida sana sidhani kama linatabu kulichubua. Duuuuu kwa idadi hiyo ya watu wenyewe nadhani wamekubali DISCO la chadema ni vema bwana Tendwa akamkabidhi kijana jimbo kabisa asubili kuapishwa tu Mjengoni na kibibi Anna Manjiwa.Naomba endelea kututumia picha za matukio yayojiri huko mkubwa.
 
Nipo hapa,kuna DCM za mbuguni kama kumi,wadau wanasema wamepewa buku mbili mbili
 
maana hakuna wanaopiga picha wala kutoa live updates actively?
Aibu ya mkutano kudorora, hawawezi kurusha... Kungekuwa na umati sahizi hata JK asingeachiwa tbc1....
 
ktk uzinduzi wa CDM mlituwekea link,wadau ktk hili la CCM pia tuwekeeni link ili nasi tupate kusikia nini kinasemwa huko
 
Rejeo na timu yake wako wapi waokoe jahazi maana TBC1 wameingia mitini? Msiba ni msiba tuu huwezi kuita harusi.
 
Wana JF wa magamba muwe mnaenda kwenye mikutano ya Chama chenu ili tuwe tunapata updates!!:sleepy:

walio wengi wanapatikana kwenye cafe kwa hiyo ni ngumu kuripot live.!
 
Pichaaaaaaaaaaa........ hapa napata mawili.........eidha wenzangu CDM wameona umati wakaogopa kuweka picha au CDM wako Tengeru Mkutanoni kwenye mkutano wa CDM.......japokuwa na kwenyewe picha teeeeeee............ hatujaletewa au CCM wameona watu hakuna hata kurusha picha wameogopa.
 
Back
Top Bottom