Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Naona mabasi ya urio ndiyo yanatumika kubeba watu mimi nijua hili huwa linafanyika jangwani tu!kwanini hawajatumia fuso?
 
Nipo maeneo ya Usa natokea Boma. CCM ndo wamemaliza mkutano wao, magari-coaster na mabasi Fuso na magari madogo ni mengi na yamejaa watu wengi na kusababisha jam (thanx to Polisi wanaongoza magari). Nachokiona ni kuwa wengi wa waliohudhuria mkutano wanatoka nje ya Jimbo.
Tunapishana na CDM wanatoka Tengeru, wana CCM na CDM wanapishana na kusalimiana kishabiki bila tatizo. Watoto wadogo wanapungia msafara wa CCM kwa ishara za V!
Polisi wanafanya patrol na magari barabarani, hali ni shwari.
 
yaani hata walivyokaa wamekaa kimakundi makundi, wanaendekeza sana makundi hawa jamaa.
 
Nipo Tengeru, CDM wanatoka mkutanoni, polisi wametanda kuongoza magari na watu. Ni kama vile wanasubiri CCM wapite, watu wengi wako barabaran wanapungia V magari yanayopita na kupiga makelele ya shangwe. Abiria kwenye Coaster wamekuwa excited, wanawarudishia ishara ya V. Nachoona CCM watakuwa na wakati mgumu kuliko ule wa Igunga.
 
Nipo maeneo ya Usa natokea Boma. CCM ndo wamemaliza mkutano wao, magari-coaster na mabasi Fuso na magari madogo ni mengi na yamejaa watu wengi na kusababisha jam (thanx to Polisi wanaongoza magari). Nachokiona ni kuwa wengi wa waliohudhuria mkutano wanatoka nje ya Jimbo.
Tunapishana na CDM wanatoka Tengeru, wana CCM na CDM wanapishana na kusalimiana kishabiki bila tatizo. Watoto wadogo wanapungia msafara wa CCM kwa ishara za V!
Polisi wanafanya patrol na magari barabarani, hali ni shwari.

Well said mkuu, waudhuriaji walio wengi ni kutoka nje ya arumeru! Wakuu nilishindwa kutoa updates wanausalama walinipiga pini, sasa niko huru!
 
Andrew Chenge na Rostam Aziz ndiyo waongoza maandamano ya CCM-Arumeru Mashariki?

(Kwa mujibu wa habari ya mwana JF Shykwanza)
 
Tunasubiri majigambo ya Mwigulu...atasema

Leo tumefunika ile mbaya.
Wenzetu walileta watu kutoka nje ya jimbo sisi hatukuwa hata na basi moja.
Hatukuona haja ya kuonyesha live kwa sababu mgombea wetu anakubalika wanamwelewa.
Nimetembelea kata zote 17 nne tu ndizo zenye shida si mmeona leo.
Pale Mkapa aliposema Peoples....hakuna hata mmoja aliyejibu Powerrrr.

Wapinzani walie tu....
 
Well said mkuu, waudhuriaji walio wengi ni kutoka nje ya arumeru! Wakuu nilishindwa kutoa updates wanausalama walinipiga pini, sasa niko huru!
Mkuu pole sana,walikupiga pini kwa sababu gani?walikuwa hawaruhusu kupiga picha?
 
Nasikia wanasombwa na malori tangu jana hadi leo.Wapo waliotoka Monduli,Loliondo mpaka wapare wapo.

kwa upande wa huku kaskazini wapare bado wanahitaji elimu ya uraia wabadilike na kuzijua haki zao na hatimaye kujiunga na wana mabadiliko, huu mvumo wa mageuzi unaoongozwa na cdm bado haujapenya masikioni pao kabisa!!
 
quote_icon.png
By katikati

nakwambia ni kijani kila mahali,kuanzia kikatiti hadi sanawari na philips
wacha hebu tupe picha kama ya kweli

Wameshampiga Ban huyo! wacha walikomeshe wenge lake arudi kwa adhabu
 
Back
Top Bottom