TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Picha za kutosha zinakuja vuta subira kwa ufupi watu ni wengi sana naweza sema ni malaki ya watu
Acha umbea
Picha za kutosha zinakuja vuta subira kwa ufupi watu ni wengi sana naweza sema ni malaki ya watu
Raha ipi kuona viti vingi au.Yani mpaka raha kweli CCM inatisha na itashinda kwa kishindo kama alivyosema Mwigulu Nchemba,hongera sana wana CCM kwa mshikamano na umoja mlio nao kweli umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu,watu wanashangilia CCM! CCM! CCM!
Wapenzi, wafuasi na wanachama wa chama makini chama cha Mapinduzi mkutano ndio unaanza rasmi wananchi wa Jimbo la arumeru wa rika na jinsia zote wamejitokeza kwa wingi sana hapa katika viwanja vya mkutano muda c mrefu tutawapa link ya kupata hutuba zote zitakazotolewa live
Ningekuwa na baba kama JK ningemkana mahakamani!!Acha ushabiki usio na Tija, JK ni zaidi ya Baba na Mama yako unapaswa kumheshimu plz
Mkuu saa10 kamili kwa saa za nchi gani? maana TBC hakuna kitu cha namna hiyo mpaka dakika hii!saa 10 kamili TBC 1 Itarusha live sogeeni karibu na TV Now
VemaaaaaaaaaaaHata mi ningekuwepo ningekuja kuburudika na bongo fleva na ukizingatia ubwabwa upo ningebeba na marafiki zangu baada ya hapo chademaaaaaaa
nasikia maalim seif nae ndani ya arumeru uzinduzi wa magamba!
Si utuletee wewe za jioni kwani tabu nini.Wadau hizo picha ni za asubuhi kwa mujibu wa mjengwa blog