Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Soma alama za nyakati............Uliona wapi uzinduzi wa CCM kuwe na magwanda?
Soma alama za nyakati............Uliona wapi uzinduzi wa CCM kuwe na magwanda?
ktk uzinduzi wa CDM mlituwekea link,wadau ktk hili la CCM pia tuwekeeni link ili nasi tupate kusikia nini kinasemwa huko
Pichaaaaaaaaaaa........ hapa napata mawili.........eidha wenzangu CDM wameona umati wakaogopa kuweka picha au CDM wako Tengeru Mkutanoni kwenye mkutano wa CDM.......japokuwa na kwenyewe picha teeeeeee............ hatujaletewa au CCM wameona watu hakuna hata kurusha picha wameogopa.
Kampeni za CCM 2010 na hiyo ni photoshop, ndio wataalam wakaiwekea miduara myeupe kwamba kuna mtu mmoja humo anaoneka mara nne kwenye picha moja!!
Mbona updates zinasua sua kuwekwa hapa JF, mliopo USA tujuzeni kinachoendelea hapo.
Ha ha ha,kampeni rahaa..
Mwenyekiti Mstaafu(Mkapa) amejaribu
kuwakebehi CHADEMA kwa kusema
wao hawana sera,wao sera zao ni
kusema ''PEOPLES'' cha ajabu takribani
nusu ya umati umejibu POWERRRRRR.
Hivi wewe unategemea jirani akulishie watoto wako. Mizuka yao inayolipwa na Nape wala haihangaiki kurusha picha inasubiri kuja kuanza kubishana idadi ya watu, waambie hela wanazopewa wazitumie ipasavyo ikiwa ni pamoja na kurusha picha za mikutano.Pichaaaaaaaaaaa........ hapa napata mawili.........eidha wenzangu CDM wameona umati wakaogopa kuweka picha au CDM wako Tengeru Mkutanoni kwenye mkutano wa CDM.......japokuwa na kwenyewe picha teeeeeee............ hatujaletewa au CCM wameona watu hakuna hata kurusha picha wameogopa.