Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Mpaka sasa hamna picha yoyote.....
Ni vipi jamaa shughuli wameihamshia chumbani??
Maana hata picha za mkutano wa Jk na madr tulizipata sasa hizi zinakwama wapi??

JG tulia crashwise atupe mambo atuwekee mpaka sahani za ubwabwa kama kawaida yao magamba!
 
Mwakyembe na EL wenyeye hawajarudi kutoka kwenye matibatu, waongoze maandamano kutoka Kusini- Kasikazini?!!:scared:

hapo ametumia lugha ya picha na wewe tumia akili yake usome na picha utagundiua anatueleza hakuna watu na hata viongozi wa maana hakuna,ha ha ha !! wanajua hakuna haja kutumia nguvu wakati sioyi ataenguliwa!!
 
hivi jamani mwanaume kama huyu jukumu la kindoa analitimiza vipi? Halafu oohooo mke wangu anatoka nje ya ndoa! Sasa mke akiwa mjamzito inashindwa kueleweka ni nani hasa ana mimba?

mwambie akuoneshe anavyolimudu hilo tendo, sasa hapa unamuuliza nani?
 
Hivi jamani Mwanaume kama huyu jukumu la kindoa analitimiza vipi? halafu oohooo mke wangu anatoka nje ya ndoa! sasa mke akiwa mjamzito inashindwa kueleweka ni nani hasa ana mimba?

Bila shaka wewe ni mwakilishi na mshabiki wa chama cha wagambo hivi umeshawahi kujiuliza macho ya mwenyekiti wa chama cha wagambo yakoje manake yanaanagalia upande mmoja na ndiyo maana anaona ukanda wa kaskazini tu bora unene kama komba unaweza tibika kwa mazoezi kuliko macho ya makengeza aliyonayo mwenyekiti wa Chadema,Big up kapteni wa ukweli mzee wa ushindi J Komba ,CCM ushindi kwenda mbele daima!
 
Wadau lakini hizi picha ni za asubuhi wakati wanafanya maandalizi, tunawaomba tuleteeni current photos please
 
Wakuu sasa anaongea katibu wao..(taifa) kimsingi hajaongea jambo lolote la msingi zaidi ya kuomba kura.. Akitoka yeye anakuja Mkapa.
 
Ni mbwembwe tu hizo! Hakuna jipya linaloweza kufanywa na huyo kijana wa sisi m. Lao ni moja lile lile.
 
Mambo yanazidi kuwa mambo hapa USA river wakati mji wote ukiwa umepambwa kwa rangi za kijani na manjano.
Hali ilivyosasa
(1) Buruduni ya wasanii wa Bongofleva, maigizo na kundi la TOT tarabu zinaendelea katika eneo la tukio
(2) Wananchi wanafurahia burudani huku vijana wakiserubuka na Bongofleva yap CCM inawapa raha
(3) Mamia ya Rai na Wasio Rai wanaendelea kumiminika kotoka sehemu mbalimbali za Mji wa Arumeru na Wengine kutoka Arusha na Moshi
(4) Watu ni wengi haijawahi kutokea Tanzania yaani Arumeru ni full shangwe
(5) Viongozi wa Chadema wakimbia mji kwa muda kuepuka aibu ya kuzomewa
(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
(7) wanawake na binti ni wengi kuliko unavyofikiri
(8) maandamano yanatarajiwa kuanza kutoka sehemu kuu nne ikiwa upande Kaskazini yataongozwa na Samweli SITTA,Kusini Chenge, Mashariki Chiligati na Magharibi ni Nape na Rostamu

Tutaendelea kuwajuza yatakayokuwa yanaendelea kila dakika kutoka hapa USA River stay tuned usitoke

Hawa CCM wako shallow kinoma, how comes tangu asubuhi hadi sasa mkutano unaisha hakuna picha za kueleweka au ndiyo mwisho wa CCM huko Arumeru?

Watajuta kuiba kura na kuwafanya wananchi wajinga....
 
hebu mkuu tupe taswira halisi ya watu waliohudhuria hapo.

Mkuu watu ni wengi ila kwa haraka haraka.. Waliovaa t-shirt za kijani na kapelo wachache. sana! Jambo lingine ni kuwa salamu yao inaitikiwa na watu wachache sana, Kuliko idadi ya wahudhuriaji.
 
There are currently 280 users browsing this thread. (79 members and 201 guests)

Hivi mnajua sie wote 280 tunasubiri updates tujue katibu anaongea nini, che-Nkapa anaongea nini lakini mnatuletea porojo tu, hebu tuhabarisheni mlioko arumeru wanaongea kitu gani
 
Mkuu watu ni wengi ila kwa haraka haraka.. Waliovaa t-shirt za kijani na kapelo wachache. sana! Jambo lingine ni kuwa salamu yao inaitikiwa na watu wachache sana, Kuliko idadi ya wahudhuriaji.

kwa maana hiyo mwitikio ni mdogo sivyo?
 
Mkapa anakanusha taarifa kuwa alitoa masharti ili ahudhurie ufunguzi wa kampeni kama mgeni rasmi..anasema si kweli ni uzushi,pia amekanusha taarifa kuwa amepora ardhi ya wana arumeru kwa ushirikiano na muwekezaji anasema si kweli! Nawakilsha
 
Back
Top Bottom