(6) Kiongozi wajuu kabisa wa CCM kuzindua kampeni hizi leo
Bado, watajaa mpaka utachanganyikiwa mwenyewe. Wapo njiani wanasubiriana, gari moja lilihabikaMbona watu wenyewe wakuhesabu kwa vidole?
Anawashwa huyo mpaka poda achana nae!.....Huwa mnaaza mambo yenu ya kipumbavu namna hii halafu baadae mnakuja kulalamika mnaonewa na MODS...
wee endelea tu!! nakuangalia kwa karibu sana wewe!!
:lock1::lock1:
Acha ushabiki usio na Tija, JK ni zaidi ya Baba na Mama yako unapaswa kumheshimu plzNimeipenda sana hiii!!!
Kwahiyo Mkwerre ni kiongozi wa kata ya Chalinze Mzee ndani ya CCM au?
Bado, watajaa mpaka utachanganyikiwa mwenyewe. Wapo njiani wanasubiriana, gari moja lilihabika
Wafuasi wa Chadema mnamatatizo ya kiakili mbona mnakuwa kama Tomaso aminin nawaambieni kuwa CCM imejaza malaki ya Watu hapa USA River picha kamili mtaipata saa mbili usikuIle kauli ya CCM na pesa Chadema na Mungu imekaa je???? Mavitu kibaooooooooooo kampeni za kitaifa.
Magamba mtadoda...Wananchi wanajua sasa AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO.......CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE...PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEESSSS.....
Una hakika nyumba yako sio ya vioo? Hakikisha tena kama nyumba yako sio ya vioo maana hivi vita vya mawe mkuu.hiyo ni tamaa au unawapelekea waumini kanisani kwenye ibada,yesu na maria
Mkuu, ukiwapata wazee wa kimila aka Washiri, uwapige picha mbili tatu hivi utuwekee hapa.Jamani mambo ndiyo yameanza....
Acha ushabiki usio na Tija, JK ni zaidi ya Baba na Mama yako unapaswa kumheshimu plz
subiri trh moja mshikishwe ukuta live,
CCM Juuuu Juuuu juuuu zaidiiiiiiIle kauli ya CCM na pesa Chadema na Mungu imekaa je???? Mavitu kibaooooooooooo kampeni za kitaifa.
Magamba mtadoda...Wananchi wanajua sasa AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO.......CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE...PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEESSSS.....