The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,965
- 45,350
Asante mlongo😬Umetengeneza vizuri, mlongo
Asante mlongo😬Umetengeneza vizuri, mlongo
Mama mjengo kumbe upo vizuri hivi
huu ndo wenyewe bossMsosi wa kishua huu!
My dear naona unakunywa uji kwa picha ya samaki hapo😀View attachment 1765620
Uji wa Mchele wenye hiriki
Ba mjengo najifunza badoMama mjengo kumbe upo vizuri hivi
Huu mchele wa aina hii unapatikana wapi?
Unapatikana supermarket lakini hata kwa maduka ya vyakula baadhi wanauza,unaitwa BasmatHuu mchele wa aina hii unapatikana wapi?
Nitakulipa!
😁 😁 😁Nitakulipa!
DAAAH
Niliwahi kuona mtu anatengeneza namna hiyo ila yeye hakusaga ila alikata kata vipande na kukaanga kama chips vile. Daah maisha kujaribu. Fanya utupe mrejesho.Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Kwa faida ya tusiofahamu hiki kinywaji. Ni kinywaji gani mkuu? Nilivyoona haraka haraka nilijua maji ya povu kabla sijasoma ulichoandika
🤣🤣maisha magumuMy dear naona unakunywa uji kwa picha ya samaki hapo😀