shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 628
- 2,119
Aisee we jamaa ndo nini kutamanishana huyo sato?ukamdokoa kabisa ili mate yatutoke vizuri
Aisee we jamaa ndo nini kutamanishana huyo sato?ukamdokoa kabisa ili mate yatutoke vizuri
Huo ugali wa yanga unga wake unapatikana
Upo, nilipata kitu cha ready made lkn! 🤣Huo ugali wa yanga unga wake unapatikana
😂 😂 😂Aisee we jamaa ndo nini kutamanishana huyo sato?ukamdokoa kabisa ili mate yatutoke vizuri
Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?I love bamias too.
Sikosi kununua nikienda sokoni
Zote sawa!Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?
Raha ya hiyo limau unalikamulia kwenye pilipili na chumvi kwa mbali aisee ugali unateleza tu
Majina yote yanatumika.Hivi bamia kwa english si ndio lady finger? Au okra?
Iko hivi : Hayo macaroni ni kama tambi au spaghetti zinauzwa kwenye packet zipo plain hazina taste yoyote.Ahaaa Usinichoke mie kupika sijui hata maharage siwezi....Labda chai tuu
Hayo macaroni unaunga tuu sio
Mafuta....vitunguu maji....nyanya basi ?
Majina yote yanatumika.
Ila kuna masela hio bamia wanamaanisha kitu ingine. Kuna watu Sio watu
Zipi zile za kupikwa au za Kulia wali?Mamy hivi uneza changanya ndizi zilizo iva na mayai uka aanga ? Angel Nylon
Dduh. Hapo sasa sijui kitakuwa chakula gani. Jaribu lknZile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Jaribu mkuu maana recipies mpya zinakuja kila siku. Huwezi jua hii yako inaweza kuwa big hit.Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Mi nikiona mdada anachoma chapati kama hivi huwa nafananisha utamu wa mbususu yake na chapati anazochoma!