Nayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu🙉Nani anayajua haya matunda?View attachment 1637813
Umekosea kidogoNayafahamu haya, Mbeya kwetu tunaita "Maswisa" sasa sijui ni kiswahili hicho ama kibantu
Aisee 😀😀Umekosea kidogo
Ni mafwisa
Kiswahili chake sijui
Sisi kikwetu ndio tunaita hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tobaa roho yangu, nna njaa
Bidada hujambo,za siku,nimekumiss sana na wewe Mshana Jr angel wako karudi ata kuniita ilhali kutwaa ulikua ukiniuliza kuhusu angel,nimenuna
Uwiiiiiiiiiiii!
Kama kawa!
Sijambo Bi Faa. Hahahahaha miss u tooo. Za maisha lkn?
Nzuri Alhamdulillah vipi na wewe na Zenji naona mnatunyima madoriani.