HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Nimeipenda MBOGA yako, MBATATA na BAMIA la kukaangaJust started View attachment 1225281
Nimeipenda MBOGA yako, MBATATA na BAMIA la kukaangaJust started View attachment 1225281
Mimi SAMAKI huwa sichoki.Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.
uView attachment 1225292
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.
uView attachment 1225292
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
ndizi, parachichi+maziwaNimeitamani sana hiyo juisi
Ni mchanganyiko wa matunda gani?
As simple as you like it
Halafu hasemi hm km kachapwa,siku ikizidi anarudi michozi kibao akiulizwa anasema hamna kitu,badae akajifunza timming vizuri tu hata akichelewa nikimkuta yuko chonjo ananiacha kwa mbio hadi hm.
Kipindi nipo mdogo home kwa wazee, siku ukipikwa wali maharage tulikuwa tukiita Manchester United na Liverpool siku hiyo unaambiwa huwa sichezi mbali
Chief tukaribishane mambo yangu haya!View attachment 1227200 home made
Dah... Minyoo yangu kaa kimya mjini kuna vya watuView attachment 1227200 home made
Mama yoyo si akupikie
mchele ni ule wa basmati