Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Vingerojeka.Viazi umekata mapande makubwa, ungekata vidogo vidogo.
Viazi vidogo katia kwenye dagaa ndio inakuwa fresh
Vingerojeka.Viazi umekata mapande makubwa, ungekata vidogo vidogo.
🤣🤣 sijaona hiyo channel hata sijui iko namba ngapiHujaona star tv kuna wahindi wanauza dawa za vitambi😆
Acha michezo wewe 🤣🤣Nazionaga tu YouTube kwa wazungu kumbe bongo zipo😆
Lightysh 😂Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Ujue nikiona umepost michemsho najua upo kwenye dietKije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Minyama yote hiyo jamani, naomba nihamie kwenu😛Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
Yes ni kweli vingerojeka, kwenye dagaq zipi? Mchanga au nyasi?Vingerojeka.
Viazi vidogo katia kwenye dagaa ndio inakuwa fresh
Mpaka juu kabisa 🙈Mwenyejii unashibaa kwelii?![]()
Haha vibanzi ndio nini kwanza?Ujue nikiona umepost michemsho najua upo kwenye diet
Ukitupia picha za vibanzi unanichanganya😂
Minyama yote hiyo jamani, naomba nihamie kwenu😛
Kitambi cha nyama hata hakinaga shida!🙈Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi View attachment 2977439
MchangaYes ni kweli vingerojeka, kwenye dagaq zipi? Mchanga au nyasi?
Mbona kichefu chefu italetaa.
Mniandalie mgeni, me nakuja tu na tumbo languUsisahau mabegi na shuka
Chipsi😂vibanzi ndio nini kwanza?
Anasingiziwa nyama tu wakati bia ndo mharibifu😋
Aaah wee hapana!!Mpaka juu kabisa![]()
Mchanga
Kichefuchefu?? Serious?
Unaweza size ndogo unamix zako na bamia/ nyanyachungu.
Dagaa nyasi ndio gani?


mie dagaa wa aina zote situmii, afu toka mdogo.Kuupata tu huu ugali nashukuruUgali mdogo, mboga nyingi. Utashiba kwelii?