Uzi wa vyakula tu

1570401494872.png

Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.

uView attachment 1225292
Mimi SAMAKI huwa sichoki.

Awe MAJI CHUMVI, au MAJI BARIDI, siyo tatizo kwangu
 
Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.

uView attachment 1225292
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede🤣.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
 
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom