Hiyo ni juice ya nini mkuu.?
Rafiki punguza kula vyakula vyenye sukari nyingi.MashaAllah. Mle kwa afya
Hapo mkuu . Papai passion embe carrot parachichiHiyo ni juice ya nini mkuu.?
Sawa mkuu, ntakunywa kimoyo moyoHapo mkuu . Papai passion embe carrot parachichi
Huu wali haujaiva....niamini....![]()
Nishaaza mkakati best wangu.Rafiki punguza kula vyakula vyenye sukari nyingi.

Angel Nylon HornetZawadi kwa ... NylonView attachment 1825425
Hii iko poa sana...
Angel Nylon Hornet
Maelekezo tafadhali nikitaka mzigo utoke kama huu.... Hiyo siku nikiweza itakuwa ni chapati maini week nzima![]()
Wee, umewiva! 🤣 🤣 🤣Huu wali haujaiva....niamini....![]()
Na bangi pia tayari umeacha?Nimeacha pombe
MUNGU AITWE MUNGU ACHENIView attachment 1833425
Bob Marley na 'ndugu' yake mkubwa Haile Selassie, walisema tusiache kamwe....! Don't have to be dread, to be a ganjaman! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Na bangi pia tayari umeacha?
WaitBob Marley na 'ndugu' yake mkubwa Haile Selassie, walisema tusiache kamwe....! Don't have to be dread, to be a ganjaman!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Viliumbwa ili vitumike kwa wenye Imani..ila matunda Ni katika vilio Bora kabisaNa bangi pia tayari umeacha?