Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,724
My favourite mikate
Vitumbua nshavitupimo hukoo kwenye group la job. Watajijua na swaum izi
Hiyo chips imekaa utamu mno
JamaniVitumbua nshavitupimo hukoo kwenye group la job. Watajijua na swaum izi
Alafu sasa zimewekwa kama kuonja tu😅😊Hiyo chips imekaa utamu mno
Koh Koh. Mtupietupie maghrib basi.
Eti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chipsAlafu sasa zimewekwa kama kuonja tu
Magharib ndio wapi huko mkuuKoh Koh. Mtupietupie maghrib basi.
Kwa bahati nzuri napenda pilau balaaaEti..hapo ungepunguza pilau unaongeza chips
Maghrib wakati wa kufuturu.Magharib ndio wapi huko mkuu
Hii chai ya viungo gani?
Hii yataka maziwa iliyotiwa syrup ya tende, weee 😋Tunakazia futariView attachment 1752134
Nimependa sana jinsi ulivyoset vyakula, lakini huo mkunjo wa chapati sijauelewa na Ramadhan hii