Hazipo siku hiziWakuu, chapati za Azam bado zinapatikana sokoni!?
Usijali dear ntakula vya wawili na nusuNnavyopenda supu tafadhali niwakilishe vyema![]()

Nilikua nazipenda sana zilikua zinarahisisha shughuli kweli na zilikua tamu,sijaziona muda pia,Wakuu, chapati za Azam bado zinapatikana sokoni!?
Dawa ya kupunguza mafuta mwiliniJumapili tulivuView attachment 1724985
EwaaaDawa ya kupunguza mafuta mwilini
Hakuna mbadala!?Nilikua nazipenda sana zilikua zinarahisisha shughuli kweli na zilikua tamu,sijaziona muda pia,
Mbadala ni kufungua kiwanda tusimtegemee azama kwa kila kituHakuna mbadala!?


Mabenda my... 🤗😋
Napenda sana dognout (Donat) tatizo hivyo zilivyo round zinanihamisha mawazo hata kipindi nikiwa nazila!















Ugali chakula pendwa mama mjengo
Mkuyenge wa mtu umepikwa nini ? Au macho yangu mabovu, refer nyama iliyopo juu kwenye hii plate![]()




. Sio poaa