Kukukuku mlimani city au wapi hapa?
Ewaaaaaaaaaaa upo sahihi kabisaaaNatambua amekulea vyema amekukuza vyema sasa umeivaaaaa
Papai likiiva sasa linatakiwa lichumwe lisije kuozea juu ya mtiEwaaaaaaaaaaa upo sahihi kabisaaa
Ndio upo sahihi ila n mpaka mtu aone umuhimu wa Hilo papai ,haliwez kujichuma lenyewe.Papai likiiva sasa linatakiwa lichumwe lisije kuozea juu ya mti
Ndio upo sahihi ila n mpaka mtu aone umuhimu wa Hilo papai ,haliwez kujichuma lenyewe.
OverSawa sawa akili mingi mwanafalsafa wangu upo juu,
Dawa za kwenye mboga za majani hizo. Kama ni mpenzi WA mbogamboga underperformance inakuhusu.πππ
Haya mambo ya underperformance yapo hadi kwa wakondefu siku hizi!
I love you meat.Sema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
Na typhoid na minyoo.πππ. Mboga mboga hizo ndo hatari kuliko Vumbi lenyewe.View attachment 1714909
Chips Vumbi