curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Fresh
Kunenepa sitaki lakini vinono ndiyo hivi vya kutoa mateUkishiba mbakishie Behaviourist View attachment 1712625
Wale tunaopenda kula chakula kizuri nione like hapa.View attachment 1713001


Safi hiyoSiku moja moja. Roho inatamani
Roho inamatamni, nafsi inatamani, mwili unatamani..... lakini kunenepa kupo palepaleSiku moja moja. Roho inatamani










Wewe kula tu mengine yatajulikana mbele kwa mbele😀.
Ili nikinenepa ni underperformWewe kula tu mengine yatajulikana mbele kwa mbele.




Mkuu hilo dumu la wine nalipataje?