Kwa madiba.Weka na location tafadhali![]()
Pole sana mkuuDuh mbali![]()
Hii ipo kibajeti zaidi,chips kavu ya buku na mchicha fungu la mia tano,ukipiga na maji glass moja lazima ucheue,Option nyingine ya hiyo ni chips kavu ya buku na miguu na utumbo wa kuku ya mia tano...
Hii ni vita sasa!😋😋😋
Oda maalumu chakula cha asili Magimbi yalotiwa karanga, tamu hii balaa.View attachment 1705502