The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji39]hayaUsishangae mambo yatakua mazuri zaidi
[emoji39]hayaUsishangae mambo yatakua mazuri zaidi
Mambo ni motoooooo aisehhhh kumbe kipenzi changu unajua kuniweka karoho juu juu, huyo kuku unammaliza peke yako haiwezekani nipo njiani [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39]hayaView attachment 1638444
Umejua kunivuruga kabisa hahahaahhaa ahsanteee kipenzi changu[emoji39]hayaView attachment 1638444
Sio chakula ila ni tunda
Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani[emoji3][emoji3]Ah rafiki we huachii, karibu zenji ule madoriani msimu unaisha tenaaaa
Nitakuja aiaehhhh nataka nikija zenji unipeleke nikale urojoooo hahahahaha na pweza, nasiki pweza ni wazuri sana kwa mambo yale makubwa makubwaAh rafiki we huachii, karibu zenji ule madoriani msimu unaisha tenaaaa
Mfalme juha alikua mfalme wa hovyo sana kutokoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani[emoji3][emoji3]
Hahah, Yani hapo nimekupatia kweli kweli baba Mjengo, wahi tule wotee😍Mambo ni motoooooo aisehhhh kumbe kipenzi changu unajua kuniweka karoho juu juu, huyo kuku unammaliza peke yako haiwezekani nipo njiani [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mfalme juha alikua mfalme wa hovyo sana kutokoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya matunda yanaitwaje? Yanaliwaje? Ukiyakata ndani yakoje?
Doriani! Umenikumbusha habari ya mfalme Juha yeye alidai hazipendi doriani[emoji3][emoji3]
Nitakuja aiaehhhh nataka nikija zenji unipeleke nikale urojoooo hahahahaha na pweza, nasiki pweza ni wazuri sana kwa mambo yale makubwa makubwa
Ahsanteee sana kwa upendo hakika nimeshiba kwa mbali mambo mazuri mazuri haya thanks my dear [emoji7][emoji7]Hahah, Yani hapo nimekupatia kweli kweli baba Mjengo, wahi tule wotee[emoji7]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya matunda yana miba nayaogopa eti [emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nije zenji nasikia zenji kuna kila kituView attachment 1638631
Madoriani, matamu sana ila harufu yake ndio yameingia ila
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sehemu gani zenji wanapika vyakula vya seafood vizuri na vitamuuualaa!!! mie sijui mkuu. inawezekana lkn mana hio ni sifa moja wapo ya seafood