dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
#Tundakwaafya
😅😅😅kwani jiraniUpo kwenye uzi wa mapishi utazidi kuwa chibonge, utakua muda wote unatamani kula
TH unaishi wapi nije?
.....😀😀😀njoo huku Moshi ufaidiTH unaishi wapi nije?
Sema nimeshajua wewe mvivu kupika![]()

Sijapita humu siku hizi mbili, nakusalimia sana kipenzi changuai Jamani ni vile wiki hii niko safarini ndio maana nakula hivyo