Leo maandazi Iceberg9 ...karibuView attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
Weekend najaribu jaribu kupika maandazi, mara ya mwisho nimekanda unga yale maandazi Mungu ndiyo anajua, yani magumu kitenesi kilaini nakosea nini mtoto mzuriLeo maandazi Iceberg9 ...karibuView attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
Daaaaa kuna siku nikiwa na mwenzangu tilikua na hamu na haya madude bana tukaingia jikoni...tulitoa vitu vya ajabu cha kwanza hayakua na nyama ndani halafu kama kaukauLeo maandazi Iceberg9 ...karibuView attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
Maandazi yale malainiiii, unga unatia hadi ka_prestige kanukieLeo maandazi Iceberg9 ...karibuView attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
Ukiendelea kuniita mpishi hodari utashangaa siku na mie naanza kujiita hivyo π€π€Weekend najaribu jaribu kupika maandazi, mara ya mwisho nimekanda unga yale maandazi Mungu ndiyo anajua, yani magumu kitenesi kilaini nakosea nini mtoto mzuri
Hazard CFC poleni sana π π π Embu siku nyingine jaribuni kwa kuweka simple ingredients tu (Unga/Hamira/Mafuta/Sukari/Chumvi/Maji) alafu muone itakuwaje.Daaaaa kuna siku nikiwa na mwenzangu tilikua na hamu na haya madude bana tukaingia jikoni...tulitoa vitu vya ajabu cha kwanza hayakua na nyama ndani halafu kama kaukau
Japo unga tulikanda na blueband yai pamoja na amira
Hapana mkuu
Either way.. sasa nitapata wapi hii kitu.. na Mtindi baridiii. πHapana mkuu
Either way.. sasa nitapata wapi hii kitu.. na Mtindi baridiii. π
Am on mission this evening
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
π sisi na kina Buyenze lazima tushushie na Mtindi bwana.. hapo unakuwa umefanya haki.kama unajua vile kuwa nipo nakula ugali na mtindi
Weekend najaribu jaribu kupika maandazi, mara ya mwisho nimekanda unga yale maandazi Mungu ndiyo anajua, yani magumu kitenesi kilaini nakosea nini mtoto mzuri
Huweki baking powder?Ukiendelea kuniita mpishi hodari utashangaa siku na mie naanza kujiita hivyo
we unga ulikuwa mgumu kiasi gani mpaka yawe magumu hivyo??Next time embu jaribu kukanda unga ambao ukibonyeza unabonyea kirahisi. Alafu weka hamira ya kutosha & acha uumuke vizuri.
Hizo mbwembwe za butter mie huwa sifanya maana sipendi vitu vingi vingi. So huwa naweka Unga, Hamira, Mafuta kidogo, Chumvi kidogo na Sukari. That's it!!!!
Hapana ππHuweki baking powder?
Mimi huwa naweka ili ziwe laini.Hapana
Ahaa...na wewe ni wa upande ule?π sisi na kina Buyenze lazima tushushie na Mtindi bwana.. hapo unakuwa umefanya haki.
Leo mpaka nitaupata nitazunguka mji huu wote ikibidi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahaha! Nyumbani ni Nyumbani ...Ahaa...na wewe ni wa upande ule?
Sawa mkuu, umeshapata?
Kuna mahala nimepata japo Na dagaa wa kwetu.. haikuwa mbaya... Nilikosa bamia tu.. roho imetuliaa kabisaSawa mkuu, umeshapata?