ni nini hizi nzuri nzuri??
Mue mnatoa location

What is late lunch??Late LunchView attachment 1610604
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka 🙂View attachment 1610858
Boga la grill na prawns wa grill
Swali gumu! Mlo unaoliwa nje ya muda wa chakula cha mchana,What is late lunch??
recipes pls![]()
Dah! We mdada utakuwa kibonge bila shaka![]()



Nina kg62 tu
mimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahiaNi wapi hapo?Vyakula vyako tu![]()
Pale nimetoka Arusha
Aise! 😄Nina kg62 tu
mimi ni Mpishi Mzuri ila sio mlaji familia yangu ndio inafurahia