Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Hapo ningeongezea mlenda
Ni wapi hapo?
Hiyo sehemu unayosema unapenda kwenda. Maana naona wanachakula kinachovutia macho.Sijakuelewa
Katakata boga weka chumvi mafuta kidogo kama Una olive oil itakua bora zaidi weka pilipili mtama na ya unga kidogo Saumu changanya vyote tia kwenye oven
Mchopa umetisha sana,
Hiyo sehemu unayosema unapenda kwenda. Maana naona wanachakula kinachovutia macho.


