Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Karibu#Mountaindew
Karibu#Mountaindew
Ndagha upigile!Karibu
Ndagha upigile!




Hahahah! Naloli
Ena bhabha
tukuntufya ukyala gwe itupile ifyakulya.
Duuh.. maana yake nini?
Ena bhabha
tukuntufya ukyala gwe itupile ifyakulya.
Asante babaDuuh.. maana yake nini?
Daah inavutia sana kujua lugha yakoAsante baba
Tunamshukuru Mungu aliyetupa vyakula
Karibu nikufundisheDaah inavutia sana kujua lugha yako
AiseeNje na ugali,siwezi kula chakula chochote bila kinywaji.
Si soda tu,huwa nakunywa na chai pia,maziwa,juice yaani ili mradi tu kinywaji (ila si maji)
Nilizoeshwa hivyo tangu nikiwa mdogo na nimeshaharibika Sasa.
Yaani hapo bila hiyo soda basi nisingeweza kula..hata niwe na njaa vipi (ni kama chakula kisicho na chumvi)
December nakuja kukutembeleaAisee




December nakuja kukutembelea
Hakikisha haunipi wali mkavu bila chai,soda au juice
Bill hivyo nitashindwa kula
Tena huwa natoka nimebeba yangu kabisa emergency ikitokea![]()

aisee umenitisha sana...najiuliza kama mimi ningekuwa nilizoeshwa hivyo katika hali niliyonayo sasa hivi hata sijui ningefanyaje. Kuhusu December wala usijali cha muhimu usikae siku nyingi

aisee umenitisha sana...najiuliza kama mimi ningekuwa nilizoeshwa hivyo katika hali niliyonayo sasa hivi hata sijui ningefanyaje. Kuhusu December wala usijali cha muhimu usikae siku nyingi
![]()






Aisee sasa huku Dar utakunywa chai mchana au usiku? Si unatsfuta kufa kwa joto
Nitakaa siku moja tu
Ungechemsha chai.
Hizo soda nakunywa hela ikipatikana..hela isipokuwepo ni mwendo wa chai tu na maziwa fresh.
Kuna kipindi nikiwa Dom nilikuwa nachemsha chai nakula na chips,watu wananishangaa
Yaani iwe asbh mchana, usiku nipo napambana tu na chai.
Secondary nilikuwa nabeba box la jolly juice.. nilikuwa siwezi kula kande kavu.
Yaani kuacha nashindwa,nikijaribu kujikaza bila kufanya hivyo nashindwa mwishowe najikuta nalala njaa
Mkuu mimi hata lugha yangu napata shida nitaweza za wengine?Karibu nikufundishe
Ni rahisi sana na ni common sana..yaani hiyo sentensi moja inatumiwa na makabila mawili..ukijua ya kabisa moja basi na kabila lingine ni hivyohivyo.
Sasa huko kwenu ni changamoto sana.Aisee sasa huku Dar utakunywa chai mchana au usiku? Si unatsfuta kufa kwa joto
Ukiwa na nia utaweza tuMkuu mimi hata lugha yangu napata shida nitaweza za wengine?