Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
UsijisumbueOhhhhh Okey kumbe, haya tupost vyakula, mengi naja PM sahivi
UsijisumbueOhhhhh Okey kumbe, haya tupost vyakula, mengi naja PM sahivi
Nisijisumbue kupost vyakula au PMUsijisumbue
Dada mtaalam..naomba uliza swal.kuna siku mchepuko nilienda kwake akanipikia kuku.wali harage na mboga flan ya majan ilikua nadhan chinese ile ila sasa ule utam sjawai kula mboga tam kama ile..sjui aliweka maziwa mule sjui nn...kila nikimuuliza recipe anasema nimuoe atanambia....ilikua na ka usukar kwa mbaal...halaf nzito. Heb nisaidie labda unaelewa


Ni mboga ya ugali tamu sana atiAisee
Miguu ya kuku tena!
Mmh kwakweli miguu na kichwa napata ugumu kula.Ni mboga ya ugali tamu sana ati
Rafiki Mimi sibagui wala sichaguiMmh kwakweli miguu na kichwa napata ugumu kula.
Ahaa basi wewe ndio uko vizuri sasa.Rafiki Mimi sibagui wala sichagui
Kuna mdau akikuambia acha kulia gizani husikii tu
Mbona hii ya mchana Kuna mwanga kabisaKuna mdau akikuambia acha kulia gizani husikii tu
Utakula chura mdogo wangu![]()


taa yangu ina mwaga kidogo