Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,297
- 46,749
Nataman unielekeze kupika hii kituBirian dayView attachment 1525221
Ntakuelekeza hyo kitu rahisi sana kupika kwenye rojo lake ndo ngumuNataman unielekeze kupika hii kitu
Hili rojo lako lina spices gani..ukiachana na nazi ninayoiona hapo juu na pilipili
Sawa tatizo umefunga pmNtakuelekeza hyo kitu rahisi sana kupika kwenye rojo lake ndo ngumu

SifungagiSawa tatizo umefunga pm![]()

Hawa watu wa hiyo restaurant hawako serious na kazi, huto tu chips hiyo, kachumbari, dah utasema wamelazimishwa
Hii mboga imekolea karanga Hadi naona wivuJuma3
#KazinamsosiView attachment 1525944
HamnaRafiki watu wanakula cancer,wewe unasema wanakula rahaa?!![]()
Watakuwa wamekula na matundaKwanza akitoka hapo kwenda chooni tu ni ngoma nyingine!
Hili rojo lako lina spices gani..ukiachana na nazi ninayoiona hapo juu na pilipili