Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 872
- 997
Ebn umenikumbusha kalmati asee...
Fanya mpango unipe darasa nami niwe naandaa kitafunwa hiki....
Fanya mpango unipe darasa nami niwe naandaa kitafunwa hiki....
Mtaniua shekhe![]()
Hata ukielekezwa kwa maandishi hutaelewa vzuri..fanya kuingia youtobe utaona kila hatuaEbn umenikumbusha kalmati asee...
Fanya mpango unipe darasa nami niwe naandaa kitafunwa hiki....![]()
Hata ukielekezwa kwa maandishi hutaelewa vzuri..fanya kuingia youtobe utaona kila hatua
Inauma but Inabidi uzoee tuu mamii 😂
Una mahaba na mlenda
