Ni shida kwakweli, me mpaka uzikwangue ndo zinanogaMaharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.
Afya tupuFrom mama landView attachment 1506412
Dagaa mchele 😋😋 nimewamiss mno, huku nilipo hata hawapo
Polee. Ukipata waliokaushwa vizuri ni raha 😋😋Dagaa mchele 😋😋 nimewamiss mno, huku nilipo hata hawapo
Ni watamu sana. Yan umenitoa mate 😀Polee. Ukipata waliokaushwa vizuri ni raha 😋😋
Ni chakula gani?View attachment 1507868Amkeni tule..
Rosted pork meat 😎Ni chakula gani?
Ina chura?Kitimoto ni ruksa?
😂😂😂😂 aiseeeKimesuka mabutu! View attachment 1509729
Hizo mbogamboga ndo zimenifanya nisiitambue.Ila tupo pamoja hapo.Rosted pork meat 😎
Aah na wewe ni wale wale 😋😋Hizo mbogamboga ndo zimenifanya nisiitambue.Ila tupo pamoja hapo.
Vipi gugo picha!?Kitimoto ni ruksa?
View attachment 1507868Amkeni tule..