Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,620
- 50,892
Chakula kilichopikiwa nazi ni kitamuu , iwe ndizi, wali, maharagwe, nyama etcsana maini ya mbuzi,maharage ya nazi,wali wa nazi ,
Chakula kilichopikiwa nazi ni kitamuu , iwe ndizi, wali, maharagwe, nyama etcsana maini ya mbuzi,maharage ya nazi,wali wa nazi ,
We utakuwa mpare,Leo watu hamjala kabisa jaman
Nasubiri picha za vyakula
Maharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.View attachment 1503709
Leo camera imeniangusha
Sasa picha za wenzako wazitakia niniHapana
Maharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.

nilimmisi mama fred, nimeona nimsalimie leo..
Mkoa gani huu, chakula kinashawishi mate mateleo nmeenda kwenye chimbo langu,nililokuwa nakulaga kipindi nipo diplomanilimmisi mama fred, nimeona nimsalimie leo..View attachment 1505486
morogoro mkuu, mji wenye vyakula kedekedeMkoa gani huu, chakula kinashawishi mate mate

Dinazarde kama Dinazarde..![]()
Hongera kwa kunitoa mate
Duh maisha ya chuo umekumbushia siomorogoro mkuu, mji wenye vyakula kedekede![]()