Jeitakuajejaji
Senior Member
- Mar 18, 2010
- 176
- 395
eee Mola anisaidie nile kiasi hiki cha wali navyopenda wali




kwamba hadi sahani ijae....duh mimi nipo sensitive sana na wanga kama sina kazi ngumu nakula carbs kiasi kidogo sanaeee Mola anisaidie nile kiasi hiki cha wali navyopenda wali




kwamba hadi sahani ijae....duh mimi nipo sensitive sana na wanga kama sina kazi ngumu nakula carbs kiasi kidogo sanaNdio nimemaliza hapooLunch!! Au kuna mwingine ulipunguza ukaweka kando?
.View attachment 1487450
Napenda maziwa ila ndio yananikataa leo liwalo na liwe tu
Na ukashiba? 🙄Ndio nimemaliza hapoo
Mshana manyama
Vizuri sana nimechukua maelezomi huwa nikiwa Dom lazima nipite chief Asili karibu na jengo la bima
Ukitoka nyerer square tuseme kwa nyuma yake unavyuka mistari ya majengo kama matatu kisha hapo
Maziwa yanakukataa kwenye nini, Ukijifungua unafanyaje sasa juu ya maziwa kwaajili ya mtoto,View attachment 1487450
Napenda maziwa ila ndio yananikataa leo liwalo na liwe tu
Maziwa yanakukataa kwenye nini, Ukijifungua unafanyaje sasa juu ya maziwa kwaajili ya mtoto,
kwamba hadi sahani ijae....duh mimi nipo sensitive sana na wanga kama sina kazi ngumu nakula carbs kiasi kidogo sana
Kabisa tena vzr sanaNa ukashiba?![]()
Kama kawaida mara tatu .... na mazoez Nafanya vzr kabisa ....uwii hadi rahaa kwa siku unakula mara ngapi ?
📍 Kazimoto Pork
Kabisa tena topKabisa tena vzr sana
