Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Huyo samaki anaonekana ni mtamu Kapikwa vizuri, ngoja nikipita dom unipe location
mi huwa nikiwa Dom lazima nipite chief Asili karibu na jengo la bima
Ukitoka nyerer square tuseme kwa nyuma yake unavyuka mistari ya majengo kama matatu kisha hapo


